Mkutano wa Kimataifa wa 20 juu ya Maendeleo ya shughuli za kilimo za Juncao wafanyika Fuzhou nchini China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 19, 2025
Mkutano wa Kimataifa wa 20 juu ya Maendeleo ya shughuli za kilimo za Juncao wafanyika Fuzhou nchini China
Profesa Lin Zhanxi (kushoto) wa Kituo cha Utafiti wa miradi ya kitaifa, ambaye ni mvumbuzi wa Teknolojia ya Juncao, akizungumza na mgeni kutoka nje ya China huko Fuzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China, Mei 17, 2025. (Xinhua/Lin Shanchuan)

Watu wa nchini China na wale kutoka nchi mbalimbali wanaohudhuria Mkutano wa 20 wa Kimataifa wa Ukuzaji wa shughuli za kilimo za Juncao wamefahamishwa kuhusu maendeleo ya shughuli hizo za Juncao mjini Fuzhou, Mkoa wa Fujian, kusini-mashariki mwa China na kubadilishana uzoefu.

Juncao ni nyasi chotara na rasilimali ya kilimo yenye kazi nyingi iliyovumbuliwa nchini China na kuenezwa duniani kote. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha