Mkutano wa Kimataifa wa 20 juu ya Maendeleo ya shughuli za kilimo za Juncao wafanyika Fuzhou nchini China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 19, 2025
Mkutano wa Kimataifa wa 20 juu ya Maendeleo ya shughuli za kilimo za Juncao wafanyika Fuzhou nchini China
Picha iliyopigwa tarehe 17 Mei 2025 ikionyesha wageni wakitembelea kituo cha Juncao katika Wilaya ya Yongtai, Fuzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China. (Xinhua/Lin Shanchuan)

Watu wa nchini China na wale kutoka nchi mbalimbali wanaohudhuria Mkutano wa 20 wa Kimataifa wa Ukuzaji wa shughuli za kilimo za Juncao wamefahamishwa kuhusu maendeleo ya shughuli hizo za Juncao mjini Fuzhou, Mkoa wa Fujian, kusini-mashariki mwa China na kubadilishana uzoefu.

Juncao ni nyasi chotara na rasilimali ya kilimo yenye kazi nyingi iliyovumbuliwa nchini China na kuenezwa duniani kote. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha