Kwenye Maonyesho ya 21 ya Biashara na Utamaduni ya China, AI yawa jambo moto moto

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 28, 2025

Katika Maonyesho ya 21 ya Kimataifa ya Tasnia ya Utamaduni na Maonyesho ya Biashara ya China (Shenzhen), teknolojia ya Akili Mnemba (AI) imekuwa jambo moto moto linalovutia watu huku ikiwa na kasi ya “kuvunja mzunguko” wa maonyesho hayo.

Nguvu laini za ushawishi: modeli kubwa na vyombo vya akili mnemba, vyaunda upya ubunifu wa kiutamaduni

Katika Maonyesho hayo ya Utamaduni, Modeli kubwa za AI hubadilishwa kuwa "vyombo vya akili mnemba" mbalimbali, vikijikita kwa kina katika mchakato mzima wa ubunifu, usambazaji na matumizi ya kiutamaduni.

Teknolojia ngumu: roboti, vifaa vya akili mnemba, vyaunda taaluma mpya za kiutamaduni

Katika nyanja ya vifaa vigumu, teknolojia ya AI inateka hadhira kwa muundo "wenye mguso".

EX ROBOT, roboti ya umbo la binadamu ikifanya kazi kwa uwazi papo hapo. (Picha na Ren Fengtao/ People's Daily Online)

EX ROBOT, roboti ya umbo la binadamu ikifanya kazi kwa uwazi papo hapo. (Picha na Ren Fengtao/ People's Daily Online)

Roboti ya umbo la binadamu ikipiga ala ya jadi ya muziki ya guzheng. (Picha na Ren Fengtao/ People's Daily Online)

Roboti ya umbo la binadamu ikipiga ala ya jadi ya muziki ya guzheng. (Picha na Ren Fengtao/ People's Daily Online)

Vifaa vya akili mnemba vya People's Daily "AI Eye" vikionyeshwa kwenye Maonyesho ya Utamaduni kwa mara ya kwanza. (Picha na Ren Fengtao, People's Daily Online)

Vifaa vya akili mnemba vya People's Daily "AI Eye" vikionyeshwa kwenye Maonyesho ya Utamaduni kwa mara ya kwanza. (Picha na Ren Fengtao, People's Daily Online)

Nafasi mpya: hali changamani ya aina yake yajenga upya simulizi ya kiutamaduni

Kipimo cha hali ya kutumia vitu vya kiutamaduni kinapanuliwa sana na teknolojia ya AI katika mazingira ya "kivunja ukuta". Huku vizuizi kati ya uhalisia pepe na uhalisia halisi vikiyeyuka hatua kwa hatua, mabadiliko kutoka "kutazama" hadi "kuchangamana kiuhalisia" ndiyo nguvu mpya ambayo AI imeingiza katika tasnia ya kiutamaduni.

Mtoto akijaribu miwani ya VR. (Picha na Ren Fengtao/ People's Daily Online)

Mtoto akijaribu miwani ya VR. (Picha na Ren Fengtao/ People's Daily Online)

Hadhira ya vijana ikichangamana na uhalisia wa "Toleo la Dreamland" la People's Daily Online. (Picha na Ren Fengtao, People's Daily Online)

Hadhira ya vijana ikichangamana na uhalisia wa "Toleo la Dreamland" la People's Daily Online. (Picha na Ren Fengtao, People's Daily Online)

Ikolojia Kubwa: Uzalishaji-shirikishi wazi wawezesha kasi ya kiviwanda

Maonyesho hayo ya Utamaduni si tu ni onyesho la teknolojia, bali pia kizalishi vipaji kwa ikolojia ya viwanda. AI hufanya utamaduni "kuishi" kwa siku za sasa na huongoza siku za baadaye.

Maonyesho hayo ya Utamaduni si tu yanatuonesha uwezekano usio na kikomo wa teknolojia kuwezesha utamaduni, lakini pia ustaarabu wa China katika zama ya kidijitali kupitia mageuzi ya kibunifu na maendeleo ya kivumbuzi, huku kukiwa na mtazamo mpya wa kuwasiliana na ulimwengu na kukimbia kuwahi kwenda siku za baadaye.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha