

Lugha Nyingine
China inayosonga mbele | “Lifti ya Anga ya Juu” iliyofichwa ndani ya maktaba
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 06, 2025
"Lifti ya Anga ya Juu" ya Maktaba ya Mji wa Shenzhen, China, ni mfumo wa kwanza wa ultrasonic wa 3D wa kupangilia na kuhifadhi vitabu nchini China. Mfumo huo umegawanyika katika sehemu tano, ukiwa na urefu wa mita 21.55 kwenda juu na uwezo wa kuhifadhi vitabu zaidi ya milioni 4.
Mfumo huo wa maktaba umefungwa programu ya kisasa yenye kufanya kazi kiotomatiki katika mchakato mzima wa kuainisha na kuchagua vitabu, ambayo inaweza kubainisha na kuchukua kitabu kinachohitajika ndani ya dakika 10 tu.
Hapa, kusoma vitabu kunakuwa kwenye ufanisi na rahisi. Hebu jionee hali halisi kupitia video hii.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma