

Lugha Nyingine
Pomboo aliyekuwa amekwama arudi baharini baada ya kupata huduma maalumu Kusini mwa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 09, 2025
![]() |
Pomboo Yang Yang akirudishwa baharini mjini Sanya, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Juni 8, 2025. (Xinhua/Zhang Liyun) |
Pomboo Yang Yang, amerudishwa baharini kwa mafanikio karibu na pwani ya Sanya, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China jana Jumapili kufuatia mpango wa uokoaji na uimarishaji afya yake. Pomboo huyo hapo awali alikutwa akiwa amekwama katika Ghuba ya Yalong Aprili 24. Huku Yang Yang akiwa amerejesha afya baada ya kupokea huduma maalumu, wataalam wameamua kumrudisha katika eneo la bahari linaloonekana kufaa kwa maisha yake ya baadaye.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma