

Lugha Nyingine
Kijiji cha Heitu Kusini mwa China chaanzisha ushirika kuendeleza vyombo vya ufinyanzi vya Kabila la Wali (6)
![]() |
Mwanakijiji Dong Jiajia (kushoto) na bibi yake Hu Qimei wakitazama vyombo vya ufinyanzi wa udongo wa kabila la Wali kwenye ushirika wa ufinyanzi katika Kijiji cha Heitu cha Sanya, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Juni 9, 2025. (Xinhua/Zhang Liyun) |
Ukiwa ni mali ya urithi wa kitaifa wa utamaduni usioshikika wa China, ufundi na ustadi wa kufinyanga vyombo vya udongo wa Kabila la Wali unabeba hekima na kumbukumbu ya kiutamaduni ya kabila hilo.
Katika Kijiji cha Heitu cha Sanya, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, kuanzishwa kwa ushirika wa ufinyanzi wa udongo kumetoa njia mpya kwa wanakijiji wenyeji kurithisha ufundi na ustadi huo wa kufinyanga vyombo vya udongo na kuuza bidhaa zao za ufinyanzi.
Shukrani kwa juhudi za kunadi bidhaa za ushirika huo, kazi hizo za ufinyanzi za watu wa Kabila la Wali zimekuwa alama ya kiutamaduni ya Kijiji cha Heitu.
Wajenzi waendelea kujenga daraja refu zaidi duniani katika Mkoa wa Guizhou wa China
Majira ya kuvuna mazao ya mpunga yawadia katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China
Migodi iliyotelekezwa yageuzwa kuwa vivutio vya kitalii katika Mkoa wa Shandong, China
LEGOLAND Shanghai Resort kuanza shughuli za majaribio kabla ya kufunguliwa Julai
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma