Maonesho ya 11 ya Teknolojia ya Kimataifa ya Shanghai China yaanza rasmi (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 12, 2025
Maonesho ya 11 ya Teknolojia ya Kimataifa ya Shanghai China yaanza rasmi
Watembeleaji maonyesho wakizungumza karibu na roboti ya umbo la binadamu inayooneshwa kwenye Maonyesho ya 11 ya Teknlojia ya Kimataifa ya Shanghai China yanayofanyika Shanghai, mashariki mwa China, Juni 11, 2025. (Xinhua/Fang Zhe)

Maonyesho ya 11 ya Teknolojia ya Kimataifa ya Shanghai China yameanza rasmi huko Shanghai, mashariki mwa China jana Jumatano. Eneo la maonyesho hayo limefikia mita za mraba 35,000, maonyesho hayo ya mwaka huu yanahusisha sehemu nne za maonyesho ya mada maalumu, sehemu ya huduma ya biashara na sehemu ya shughuli za biashara. Kampuni na wadau wapatao 1,000 kutoka nchi na maeneo takriban 20 wanaonesha mafanikio yao ya uvumbuzi kwenye maonyesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha