

Lugha Nyingine
Mashindano ya 32 ya Mvinyo ya Brussells yafanyika mjini Yinchuan, Ningxia, China (4)
![]() |
Wataalamu wa mvinyo wakionja sampuli za glasi za mvinyo kwenye mashindao ya 32 ya CMB mjini Yinchuan, mkoani Ningxia, kaskazini-magharibi mwa China, Juni 10, 2025. (Xinhua/Du Juanjuan) |
Yakiwa yalifanyika kwa mara ya kwanza nchini China mwaka 2018 mjini Beijing, Mashindao ya 32 ya CMB, ambayo pia yanajulikana kwa jina la ‘Olimpiki ya Mvinyo’, mwaka huu yameleta pamoja majaji wa kimataifa karibu 400 na sampuli za mvinyo zaidi ya 7000 zikiwemo za idadi inayovunja rekodi ya sampuli kutoka China, kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CMB Baudouin Havaux. Mashindano hayo yanaendelea mjini Yinchuan, mkoani Ningxia, kaskazini-magharibi mwa China.
Wajenzi waendelea kujenga daraja refu zaidi duniani katika Mkoa wa Guizhou wa China
Majira ya kuvuna mazao ya mpunga yawadia katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China
Migodi iliyotelekezwa yageuzwa kuwa vivutio vya kitalii katika Mkoa wa Shandong, China
LEGOLAND Shanghai Resort kuanza shughuli za majaribio kabla ya kufunguliwa Julai
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma