Mashindano ya 32 ya Mvinyo ya Brussells yafanyika mjini Yinchuan, Ningxia, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 12, 2025
Mashindano ya 32 ya Mvinyo ya Brussells yafanyika mjini Yinchuan, Ningxia, China
Mfanyakazi akihudumia mvinyo kwa mtihani kwenye Mashindao ya 32 ya CMB mjini Yinchuan, mkoani Ningxia, kaskazini-magharibi mwa China, Juni 10, 2025. (Xinhua/Du Juanjuan)

Yakiwa yalifanyika kwa mara ya kwanza nchini China mwaka 2018 mjini Beijing, Mashindao ya 32 ya CMB, ambayo pia yanajulikana kwa jina la ‘Olimpiki ya Mvinyo’, mwaka huu yameleta pamoja majaji wa kimataifa karibu 400 na sampuli za mvinyo zaidi ya 7000 zikiwemo za idadi inayovunja rekodi ya sampuli kutoka China, kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CMB Baudouin Havaux. Mashindano hayo yanaendelea mjini Yinchuan, mkoani Ningxia, kaskazini-magharibi mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha