

Lugha Nyingine
Njia mpya za uendeshaji wa droni zaanza kutumika katika Mji wa Wuhan katikati mwa China (6)
![]() |
Picha ya droni iliyopigwa Juni 16, 2025 ikionyesha droni ya kupeleka vifurushi vya wateja ikiruka mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China. (Xinhua/Wu Zhizun) |
WUHAN - Njia kumi mpya za uendeshaji wa droni zinazounganisha sehemu za Wuchang, Hankou na Hanyang mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei katikati mwa China zimeanza kutumika rasmi jana Jumatatu, ambapo huduma hiyo ya anga ya chini inahusisha jukwaa la kusimamia droni kidijitali kwa wakati halisi, vituo viwili vya uongozi kwa teknolojia za kisasa, njia 10 za anga ya chini na sehemu 22 za kutua na kuruka kwa droni (aprons) za kutumia teknolojia ya AI.
Huduma hiyo inasaidia kuhimiza maendeleo ya kazi ya kupeleka vifurushi vya wateja kama vile vyakula vya baharini, maua freshi na dawa.
Wajenzi waendelea kujenga daraja refu zaidi duniani katika Mkoa wa Guizhou wa China
Majira ya kuvuna mazao ya mpunga yawadia katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China
Migodi iliyotelekezwa yageuzwa kuwa vivutio vya kitalii katika Mkoa wa Shandong, China
LEGOLAND Shanghai Resort kuanza shughuli za majaribio kabla ya kufunguliwa Julai
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma