China yaadhimisha Siku ya 38 ya Kimataifa ya kupinga Matumizi Mabaya ya Dawa za Kulevya na Usafirishaji Haramu (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2025
China yaadhimisha Siku ya 38 ya Kimataifa ya kupinga Matumizi Mabaya ya Dawa za Kulevya na Usafirishaji Haramu
Ofisa wa polisi akimwongoza mbwa wa kunusa kutafuta mihadarati kwenye tukio la kuwasilisha mada katika chuo kikuu mjini Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Juni 26, 2025. (Picha na Liang Zidong/Xinhua)

Jana Alhamisi, tarehe 26 Juni ilikuwa ni Siku ya 38 ya Kimataifa ya Kupambana na Matumizi Mabaya ya Dawa za Kulevya na Usafirishaji Haramu, ambapo shughuli za uenezi na elimu zimefanyika katika sehemu mbalimbali nchini China ili kuongeza uelewa wa umma wa kupambana na dawa za kulevya. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha