

Lugha Nyingine
China yaadhimisha Siku ya 38 ya Kimataifa ya kupinga Matumizi Mabaya ya Dawa za Kulevya na Usafirishaji Haramu (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2025
![]() |
Ofisa wa polisi akielezea ujuzi kuhusu kupambana na dawa za kulevya kwa wananchi kwenye bustani moja katika Mji wa Zunhua, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Juni 26, 2025. (Picha na Liu Mancang/Xinhua) |
Jana Alhamisi, tarehe 26 Juni ilikuwa ni Siku ya 38 ya Kimataifa ya Kupambana na Matumizi Mabaya ya Dawa za Kulevya na Usafirishaji Haramu, ambapo shughuli za uenezi na elimu zimefanyika katika sehemu mbalimbali nchini China ili kuongeza uelewa wa umma wa kupambana na dawa za kulevya.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Bustani ya Kimataifa ya Pump Track ya Shenyang, China: Utambulisho Mpya wa Michezo Mjini
Ukumbi wa Kuutazama Mji wa “Kilele cha Tianjin” wa China wafunguliwa rasmi kwa umma
Kuendeleza urithi wa utamaduni usioshikika wa China - ustadi wa kutengeneza chai ya Taiping Houkui
Njia mpya za uendeshaji wa droni zaanza kutumika katika Mji wa Wuhan katikati mwa China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma