China yaadhimisha Siku ya 38 ya Kimataifa ya kupinga Matumizi Mabaya ya Dawa za Kulevya na Usafirishaji Haramu (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2025
China yaadhimisha Siku ya 38 ya Kimataifa ya kupinga Matumizi Mabaya ya Dawa za Kulevya na Usafirishaji Haramu
Ofisa wa polisi akielezea maarifa ya kupambana dhidi ya dawa za kulevya kwa wanafunzi wa shule moja katika Mji wa Qianxi, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Juni 26, 2025. (Picha na Fan Hui/Xinhua)

Jana Alhamisi, tarehe 26 Juni ilikuwa ni Siku ya 38 ya Kimataifa ya Kupambana na Matumizi Mabaya ya Dawa za Kulevya na Usafirishaji Haramu, ambapo shughuli za uenezi na elimu zimefanyika katika sehemu mbalimbali nchini China ili kuongeza uelewa wa umma wa kupambana na dawa za kulevya. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha