Mkutano wa 10 wa Mwaka wa AIIB yafunguliwa Beijing (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2025
Mkutano wa 10 wa Mwaka wa AIIB yafunguliwa Beijing
Watu wakizungumza kabla ya kufunguliwa kwa Mkutano wa 10 wa Mwaka wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) mjini Beijing, Juni 26, 2025. (Xinhua/Li Xin)

Mkutano wa 10 wa Mwaka wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) umefunguliwa jana Alhamisi mjini Bejing, China, chini ya kaulimbiu ya "Kuunganisha kwa Maendeleo, Kushirikiana kwa Ustawi" na kuhudhuriwa na wageni zaidi ya 3,500 kutoka nchi na kanda zipatazo 100.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha