

Lugha Nyingine
Mkutano wa 10 wa Mwaka wa AIIB yafunguliwa Beijing (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2025
![]() |
Watu wakionekana kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 10 wa Mwaka wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) mjini Beijing, Juni 26, 2025. (Xinhua/Li Xin) |
Mkutano wa 10 wa Mwaka wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) umefunguliwa jana Alhamisi mjini Bejing, China, chini ya kaulimbiu ya "Kuunganisha kwa Maendeleo, Kushirikiana kwa Ustawi" na kuhudhuriwa na wageni zaidi ya 3,500 kutoka nchi na kanda zipatazo 100.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Bustani ya Kimataifa ya Pump Track ya Shenyang, China: Utambulisho Mpya wa Michezo Mjini
Ukumbi wa Kuutazama Mji wa “Kilele cha Tianjin” wa China wafunguliwa rasmi kwa umma
Kuendeleza urithi wa utamaduni usioshikika wa China - ustadi wa kutengeneza chai ya Taiping Houkui
Njia mpya za uendeshaji wa droni zaanza kutumika katika Mji wa Wuhan katikati mwa China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma