Mkutano wa 10 wa Mwaka wa AIIB yafunguliwa Beijing (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2025
Mkutano wa 10 wa Mwaka wa AIIB yafunguliwa Beijing
Picha hii iliyopigwa Juni 26, 2025 ikionyesha ufunguzi wa Mkutano wa 10 wa Mwaka wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) mjini Beijing. (Xinhua/Li Xin)

Mkutano wa 10 wa Mwaka wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) umefunguliwa jana Alhamisi mjini Bejing, China, chini ya kaulimbiu ya "Kuunganisha kwa Maendeleo, Kushirikiana kwa Ustawi" na kuhudhuriwa na wageni zaidi ya 3,500 kutoka nchi na kanda zipatazo 100.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha