Shughuli ya usafiri baharini yafanyika Qingdao kuadhimisha Siku ya 20 ya Usafiri Baharini ya China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 11, 2025
Shughuli ya usafiri baharini yafanyika Qingdao kuadhimisha Siku ya 20 ya Usafiri Baharini ya China
Picha iliyopigwa Julai 10, 2025 ikionyesha majahazi na boti zikishiriki katika shughuli ya siku ya usafiri baharini katika eneo la Ghuba ya Laolong la mji Qingdao, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China. (Xinhua/Li Ziheng)

Shughuli ya Siku ya Usafiri Baharini imefanyika katika eneo la Ghuba ya Laolong la mji wa pwani wa Qingdao, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China jana Alhamisi kuadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Siku ya Usafiri Baharini ya China, na maadhimisho ya miaka 620 ya safari za baharini za mjasiri wa China Zheng He.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha