

Lugha Nyingine
Maonyesho na Mkutano wa 4 wa Kimataifa wa Mwaka wa Ulinzi wa Baharini vyafanyika Accra, Ghana (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 11, 2025
![]() |
Modeli ya helikopta ikionekana kwenye Maonyesho na Mkutano wa 4 wa Kimataifa wa Mwaka wa Ulinzi wa Baharini (IMDEC) huko Accra, Ghana, Julai 8, 2025. (Picha na Seth/Xinhua) |
Maonyesho na Mkutano wa 4 wa Kimataifa wa Mwaka wa Ulinzi wa Baharini (IMDEC) 2025, vimeanza huko Accra, Ghana jana Alhamisi. Tukio hilo lililoandaliwa kwa ufadhili wa Jeshi la Majini la Ghana linaonesha umuhimu mkubwa katika kuimarisha mpango wa ulinzi wa baharini katika Ghuba ya Guinea na katika bara zima la Afrika.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma