Muonekano wa Mtaa wa Sanaa wa Tianjin, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 14, 2025
Muonekano wa Mtaa wa Sanaa wa Tianjin, China
Picha iliyopigwa tarehe 13 Julai 2025 ikionyesha Mtaa wa Sanaa wa Chuo cha Sanaa cha Tianjin mjini Tianjin, kaskazini mwa China. (Xinhua/Li Ran)

Mtaa wa Sanaa wa Chuo cha Sanaa mjini Tianjin, kaskazini mwa China, ambao ulifunguliwa kwa umma hivi karibuni, umejengwa kwa uungaji mkono wa Chuo cha Sanaa cha Tianjin. Huu ni mpango wa kwanza wa uhuishaji wa mji wa Tianjin ambao unachanganya kazi nne tofauti katika muundo mmoja: mtaa wa mjini, jamii, eneo la kivutio cha watalii, vilevile kampasi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha