Wilaya ya Xuan’en yahimiza utalii wa usiku kando ya Mto Gongshui Katikati mwa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2025
Wilaya ya Xuan’en yahimiza utalii wa usiku kando ya Mto Gongshui Katikati mwa China
Picha iliyopigwa Julai 9, 2025 ikionesha watalii wakifurahia mandhari ya usiku katika Wilaya ya Xuan’en, Eneo linalojiendesha la Makabila ya Watujia na Wamiao la Enshi, Mkoa wa Hubei, Katikati mwa China, Juali 9, 2025. (Picha na Zhao Jun/Xinhua)

Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Xuan'en ya Mkoa wa Hubei, katikati mwa China imekuwa ikihimiza utalii wa usiku karibu na Mto Gongshui, ambao unatiririka kupita wilaya hiyo. Shughuli na maonesho mbalimbali kuanzia usafiri wa chelezo cha mianzi hadi fashifashi za chuma kilichoyeyushwa huvutia watalii kufurahia uzuri wa wilaya hiyo chini ya mwanga.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha