

Lugha Nyingine
Eneo la mtaa mkongwe lawa na ustawi kwa uvumbuzi wa kitamaduni na utalii mkoani Jiangxi, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2025
![]() |
Fundi akitengeneza bidhaa ya kauri kwenye mtaa wa kihistoria na kitamaduni wa Taoyangli katika Mji wa Jingdezhen, Mkoa wa Jiangxi, mashariki mwa China, Julai 13, 2025. (Xinhua/Liu Jinhai) |
Mtaa wa kihistoria na kitamaduni wa Taoyangli uliopo katikati mwa Mji wa Jingdezhen, katika Mkoa wa Jiangxi, mashariki mwa China, umebadilika kwa mafanikio kutoka mtaa mkongwe uliojengwa zamani kuwa eneo lenye hali ya ustawi wa uvumbuzi wa kitamaduni na utalii katika miaka ya hivi karibuni. Hivi sasa, mtaa huo umekuwa kivutio cha lazima kutembelea kwa watalii.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma