

Lugha Nyingine
Bustani ya Wanyama ya Chongqing, China yachukua hatua kusaidia wanyama kukwepa joto kali la majira ya joto (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 17, 2025
![]() |
Mlinzi wa wanyama akimlisha Twiga tikitimaji la barafu kwenye Bustani ya Wanyama ya Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Julai 16, 2025. (Xinhua/Tang Yi) |
Huku hali ya Hewa ya joto kali ikiendelea katika Mji wa Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Bustani ya Wanyama ya Chongqing imechukua hatua mbalimbali ili kuwasaidia wanyama kukwepa joto kali la majira ya joto, zikiwemo za kuwapa maji ya kuogelea ya barafu, kuwapa kiyoyozi, na kuwalisha vyakula vyenye barafu. Yote haya yanalenga kuhakikisha usalama na faraja zao katika majira mazima ya joto.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Wilaya ya Xuan’en yahimiza utalii wa usiku kando ya Mto Gongshui Katikati mwa China
Eneo la mtaa mkongwe lawa na ustawi kwa uvumbuzi wa kitamaduni na utalii mkoani Jiangxi, China
Mji wa Tianjin, China waharakisha ufungamanishaji wa uchumi wa kidijitali na uchumi halisi
Ardhioevu yalinda spishi za ndege kutoka kwenye uwanda hadi mijini
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma