Maonyesho ya Picha ya Shanghai 2025 yavutia kampuni zaidi ya 400 kutoka viwanda vya upigaji picha za kidijitali duniani (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 18, 2025
Maonyesho ya Picha ya Shanghai 2025 yavutia kampuni zaidi ya 400 kutoka viwanda vya upigaji picha za kidijitali duniani
Watu wakishiriki kwenye saluni ya mambo ya picha kwenye Maonyesho ya Picha ya Shanghai 2025 mjini Shanghai, mashariki mwa China, Julai 17, 2025. (Xinhua/Fang Zhe)

Maonyesho ya Picha ya Shanghai 2025, yanayoshirikisha kampuni zaidi ya 400 kutoka viwanda vya upigaji picha za kidijitali duniani, yameanza mjini Shanghai Mashariki mwa China jana Alhamisi, Julai 17, 2025. Maonyesho hayo yanaonyesha aina na mitindo mipya ya biashara katika viwanda vya mambo ya picha kwa kujikita katika vifaa vya kupiga picha za kidijitali, uchapishaji picha na teknolojia ya utengenezaji.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha