

Lugha Nyingine
Maonyesho ya Picha ya Shanghai 2025 yavutia kampuni zaidi ya 400 kutoka viwanda vya upigaji picha za kidijitali duniani (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 18, 2025
![]() |
Mtembeleaji akitembea kuzipita lenzi za Canon zinazooneshwa kwenye Maonyesho ya Picha ya Shanghai 2025 mjini Shanghai, mashariki mwa China, Julai 17, 2025. (Xinhua/Fang Zhe) |
Maonyesho ya Picha ya Shanghai 2025, yanayoshirikisha kampuni zaidi ya 400 kutoka viwanda vya upigaji picha za kidijitali duniani, yameanza mjini Shanghai Mashariki mwa China jana Alhamisi, Julai 17, 2025. Maonyesho hayo yanaonyesha aina na mitindo mipya ya biashara katika viwanda vya mambo ya picha kwa kujikita katika vifaa vya kupiga picha za kidijitali, uchapishaji picha na teknolojia ya utengenezaji.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Wilaya ya Xuan’en yahimiza utalii wa usiku kando ya Mto Gongshui Katikati mwa China
Eneo la mtaa mkongwe lawa na ustawi kwa uvumbuzi wa kitamaduni na utalii mkoani Jiangxi, China
Mji wa Tianjin, China waharakisha ufungamanishaji wa uchumi wa kidijitali na uchumi halisi
Ardhioevu yalinda spishi za ndege kutoka kwenye uwanda hadi mijini
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma