Shughuli ya msimu wa sikukuu ya kuzaliwa kwa panda yafanyika Sichuan, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 18, 2025
Shughuli ya msimu wa sikukuu ya kuzaliwa kwa panda yafanyika Sichuan, China
Panda Xiao Qiji akifurahia vyakula vitamu kwenye kituo cha panda cha Shenshuping cha Hifadhi ya Kitaifa ya Mazingira ya Asili ya Wolong, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Julai 17, 2025. (Xinhua/Xue Chen)

Shughuli ya msimu wa sikukuu za kuzaliwa kwa panda, iliyoandaliwa na Kituo cha Uhifadhi na Utafiti wa Panda cha China, imefanyika katika Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, jana Alhamisi Julai 17, 2025. Panda waliokuwa wakisubiriwa kwa hamu kubwa, wakiwemo Panda Fubao na Xiao Qiji, wamekutana na watembeleaji na kufurahia vyakula vitamu kama vile karoti, matikiti maji na vinginevyo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha