

Lugha Nyingine
Shughuli ya msimu wa sikukuu ya kuzaliwa kwa panda yafanyika Sichuan, China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 18, 2025
![]() |
Panda akila mwanzi kwenye kituo cha panda cha Shenshuping cha Hifadhi ya Kitaifa ya Mazingira ya Asili ya Wolong, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Julai 17, 2025. (Xinhua/Xue Chen) |
Shughuli ya msimu wa sikukuu za kuzaliwa kwa panda, iliyoandaliwa na Kituo cha Uhifadhi na Utafiti wa Panda cha China, imefanyika katika Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, jana Alhamisi Julai 17, 2025. Panda waliokuwa wakisubiriwa kwa hamu kubwa, wakiwemo Panda Fubao na Xiao Qiji, wamekutana na watembeleaji na kufurahia vyakula vitamu kama vile karoti, matikiti maji na vinginevyo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Wilaya ya Xuan’en yahimiza utalii wa usiku kando ya Mto Gongshui Katikati mwa China
Eneo la mtaa mkongwe lawa na ustawi kwa uvumbuzi wa kitamaduni na utalii mkoani Jiangxi, China
Mji wa Tianjin, China waharakisha ufungamanishaji wa uchumi wa kidijitali na uchumi halisi
Ardhioevu yalinda spishi za ndege kutoka kwenye uwanda hadi mijini
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma