Vivutio vya Kijiji cha Guangdong katika Mkoa wa Jilin, Kaskazini Mashariki mwa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2025
Vivutio vya Kijiji cha Guangdong katika Mkoa wa Jilin, Kaskazini Mashariki mwa China
Watu wakitembelea Kijiji cha Guangdong katika Mkoa wa Jilin, kaskazini-mashariki wa China, Julai 18, 2025. (Xinhua/Shao Zedong)

Kijiji cha Guangdong, ambacho ni kijiji cha mpakani katika Mkoa wa Jilin, kaskazini-mashariki mwa China, kilipokea watalii zaidi ya 200,000 katika mwaka 2024, kikipata mapato ya yuan zaidi ya milioni 1 (dola za Kimarekani kama 139,317).

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha