Vivutio vya Kijiji cha Guangdong katika Mkoa wa Jilin, Kaskazini Mashariki mwa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2025
Vivutio vya Kijiji cha Guangdong katika Mkoa wa Jilin, Kaskazini Mashariki mwa China
Picha iliyopigwa tarehe 18 Julai 2025 ikionyesha mandhari ya Kijiji cha Guangdong katika Mkoa wa Jilin, kaskazini mashariki mwa China. (Xinhua/Shao Zedong)

Kijiji cha Guangdong, ambacho ni kijiji cha mpakani katika Mkoa wa Jilin, kaskazini-mashariki mwa China, kilipokea watalii zaidi ya 200,000 katika mwaka 2024, kikipata mapato ya yuan zaidi ya milioni 1 (dola za Kimarekani kama 139,317).

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha