

Lugha Nyingine
Wakulima wa China wawa na pilikapilika za uzalishaji wa kilimo katika kipindi cha Dashu (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 22, 2025
![]() |
Picha iliyopigwa Julai 21, 2025 ikionyesha mkulima akiwa amebeba miche ya mpunga huko Loudi, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China. (Picha na Wu Yonghua/Xinhua) |
Wakulima katika sehemu mbalimbali nchini China wako katika pilikapilika za kilimo katika kipindi cha Dashu, yaani kipindi cha hali ya hewa cha Joto Kubwa, ambacho ni kipindi cha 12 kati ya vipindi 24 vilivyowekwa kwenye Kalenda ya Jadi ya Kilimo ya China. Kipindi hicho kimeanza rasmi leo Julai 22 mwaka huu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma