

Lugha Nyingine
Wakulima wa China wawa na pilikapilika za uzalishaji wa kilimo katika kipindi cha Dashu (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 22, 2025
![]() |
Picha iliyopigwa tarehe 21 Julai, 2025 ikionyesha wanakijiji wakipandikiza miche ya mpunga huko Hengyang, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China. (Picha na Cao Zhengping/Xinhua) |
Wakulima katika sehemu mbalimbali nchini China wako katika pilikapilika za kilimo katika kipindi cha Dashu, yaani kipindi cha hali ya hewa cha Joto Kubwa, ambacho ni kipindi cha 12 kati ya vipindi 24 vilivyowekwa kwenye Kalenda ya Jadi ya Kilimo ya China. Kipindi hicho kimeanza rasmi leo Julai 22 mwaka huu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma