Maonyesho ya uchumi wa anga ya chini yaanza rasmi mjini Shanghai, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 24, 2025
Maonyesho ya uchumi wa anga ya chini yaanza rasmi mjini Shanghai, China
Mtembeleaji maonyesho akiigilizia safari ya ndege chini ya mwongozo wa mfanyakazi kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga wa Teknolojia ya Hali ya Juu yanayofanyika Shanghai, mashariki mwa China, tarehe 23 Julai 2025. (Xinhua/Wang Xiang)

Maonyesho ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga wa Teknolojia ya Hali ya Juu yameanza Shanghai, Mashariki mwa China jana Jumanne Julai 23 na yamepangwa kuendelea hadi Julai 26, ambapo kampuni washiriki wa maonesho hayo karibu 300 zinaonyesha miundombinu yao ya anga ya chini pamoja na bidhaa na huduma zinazounga mkono.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha