

Lugha Nyingine
Mji wa Harbin, China unaunga mkono makampuni ya ndani kufanya mageuzi ya kiteknolojia
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2025
Katika miaka ya hivi karibuni, Harbin, moja ya maeneo ya jadi ya viwanda nchini China, imekuwa ikitumia teknolojia ya kidijitali na kisasa kama njia muhimu ya kuboresha sekta yake ya jadi.
Kuanzia mwaka 2021 hadi 2025, mji huo umewekeza jumla ya yuan milioni 500 (sawa na dola milioni 69 za Kimarekani) kusaidia biashara za ndani kufanya mabadiliko ya kiteknolojia, na ukuaji wa wastani wa asilimia 20 kwa mwaka katika uwekezaji kama huo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma