Watalii wanatembelea wilaya inayojiendesha ya kabila la watajik, Mkoani Xinjiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2025
Watalii wanatembelea wilaya inayojiendesha ya kabila la watajik, Mkoani Xinjiang, China
Watu wakitembelea bustani ya milima ya barafu ya Muztagata kwenye wilaya inayojiendesha ya kabila la watajik ya Taxkorgan, Mkoa Xinjiang, China, Agosti 3, 2025. (Xinhua/Wang Fei)

Wilaya inayojiendesha la kabila la watajik ya Taxkorgan, imeingia kwenye kipindi cha kuwa na watalii wengi, huku watalii zaidi wakienda kufurahia utamaduni na mandhari kwenye wilaya hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha