Maonyesho ya kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 kufunguliwa kwenye Bustani ya Shougang mjini Beijing (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2025
Maonyesho ya kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 kufunguliwa kwenye Bustani ya Shougang mjini Beijing
Picha hii iliyopigwa Agosti 11, 2025 inaonyesha baadhi ya bidhaa zinazohusika kwenye Maonyesho ya kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 (CIFTIS) kwenye bustani ya Shougang mjini Beijing, China. (Xinhua/Zhang Chenlin)

Maonyesho ya kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 (CIFTIS) yamepangwa kufunguliwa Septemba 10 katika bustani ya Shougang, mjini Beijing.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha