Vivutio vya Mandhari ya Ardhi Oevu ya Xinjiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2025
Vivutio vya Mandhari ya Ardhi Oevu ya Xinjiang, China
Watu wakitembelea Bustani ya Ardhi Oevu ya Kitaifa ya Manas katika Wilaya ya Manas, Eneo linalojiendesha la Kabila la Wauygur la Xinjiang, China, Agosti 10, 2025. (Xinhua/Zhou Jiayi)

Ardhi oevu mpya, kama vile Bustani ya Ardhi Oevu ya Kitaifa ya Manas na Hifadhi ya Ardhi Oevu ya Lalikun, zimeibuka kwenye sehemu ambayo Jangwa la Gurbantunggut linapakana na Jangwa la Taklimakan mkoani Xinjiang, China, zikiwa kama hifadhi muhimu ya kiekolojia kwa ndege wanaohamahama na kuhifadhi uanuwai wa viumbe na oasisi vya eneo hilo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha