

Lugha Nyingine
Kilimo cha zabibu chashamiri katika Kijiji cha Baozigou, Hebei China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 14, 2025
![]() |
Mkulima huyu anakagua zabibu zinavyokua kwenye Kijiji cha Baozigou cha eneo la Lulong, Mkoani Hebei China, Agosti 12, 2025. (Xinhua/Yang Shiyao) |
Kijiji cha Baozigou kilichopo katika wilaya ya Lulong kina historia ya miaka zaidi ya 600 ya shughuli za kilimo cha zabibu, kijiji hicho sasa kinajivunia kuwa na eneo la hekta zaidi ya 100 za upandaji zabibu, na aina kadhaa za zabibu zenye sifa ya juu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma