

Lugha Nyingine
China Vumbuzi | Boti zinazotumia umeme kikamilifu zaanza safari Tianjin (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 14, 2025
![]() |
Picha iliyopigwa kwa droni Agosti 13, 2025 inaonyesha boti zinazotumia umeme kikamilifu kwenye maji huko Tianjin,China. (Xinhua/Li Ran) |
Kundi la “Meli za kijani” lenye boti nne zinazotumia umeme kikamilifu zilifunga safari jumatano kutoka bandari moja ya Tianjin. Boti hizi nne ni kundi kubwa zaidi la boti za aina hiyo katika eneo la kaskazini mwa China, ambazo litasaidia meli mbalimbali kuingia, kutoka, kutia nanga na kung'oa nanga kwenye bandari ya Tianjin.
Tofauti na boti za kawaida, boti za umeme haitoi moshi na hazina kelele. Kila mmoja ina nguvu msukumo ya HP5,400, mota za kisasa za umeme na mfumo wa udhibiti wa AI, unaowezesha ufanisi wa hali ya juu wa kufanya kazi kwa gharama za chini sana.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma