Zaidi ya treni elfu 30 za mizigo za China-Ulaya zinaondoka kutoka Xi'an (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 14, 2025
Zaidi ya treni elfu 30 za mizigo za China-Ulaya zinaondoka kutoka Xi'an
Picha iliyopigwa kwa droni Agosti 13, 2025 inaonyesha treni ya mizigo ya China-Ulaya kwenda Baku, Azerbaijan, ikijiandaa kuondoka kutoka Kituo cha Bandari cha Kimataifa cha Xi'an, Mkoani Shaanxi China. (Xinhua/Li Yibo)

Treni namba X9043 iliyobeba makontena 55 ya paneli za jua, iliondoka jumatano kutoka Xi'an kwenda Baku. Safari hii ni hatua mpya ya usafiri wa treni, kwani idadi ya jumla ya treni za mizigo za China-Ulaya zilizoondoka Xi'an tangu kuanza kwa safari hizo mwaka 2013 zimefikia zaidi ya 30,000. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha