Michezo ya Dunia ya Chengdu | Sherehe ya Kufungwa kwa Michezo ya 12 ya Dunia yafanyika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 18, 2025
Michezo ya Dunia ya Chengdu | Sherehe ya Kufungwa kwa Michezo ya 12 ya Dunia yafanyika
Picha iliyopigwa Agosti 17 inaonesha sherehe ya kufungwa. (Xu Bingjie/Xinhua)

Siku hiyo sherehe ya kufungwa kwa Michezo ya 12 ya Dunia ilifanyika Chengdu, China.

Katika siku 11 zilizopita, wachezaji karibu 4,000 kutoka nchi na maeneo 116 wameshiriki kwenye michezo hiyo. Wachezaji wa ujumbe wa China kwa mara ya kwanza wamechukua nafasi ya kwanza kwenye orodha ya medali za dhahabu na ya medali za jumla na hayo ni mafanikio makubwa zaidi ya China katika historia yake ya kushiriki kwenye Michezo ya Dunia.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha