Hospitali mjini Beijing yatoa huduma ya matibabu bila malipo kuadhimisha Siku ya 8 ya Madaktari ya China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 20, 2025
Hospitali mjini Beijing yatoa huduma ya matibabu bila malipo kuadhimisha Siku ya 8 ya Madaktari ya China
Mhudumu anayejitolea akichora picha ya katuni kwa daktari wakati wa shughuli ya utoaji huduma ya matibabu bila malipo mjini Beijing, Agosti 19, 2025. (Xinhua/Zhang Yuwei)

Hospitali ya Xiehe ya Beijing ilifanya shughuli ya utoaji huduma ya matibabu bila malipo jana Jumanne ili kuadhimisha Siku ya nane ya Madaktari ya China. Madaktari na wauguzi zaidi ya 50 walitoa mashauri kwa wagonjwa ana kwa ana. Wakati huohuo wahudumu wa hospitali waliojitolea walichora picha za katuni za madaktari na mauguzi walioshiriki kwenye shughuli hiyo.

Siku ya Madaktari ya China ilianzishwa mwaka 2018 na inasherehekewa kila Agosti 19, ili kutoa heshimu kwa madaktari wa China na kusifu mchango waliotoa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha