

Lugha Nyingine
Bandari ya Qingdao yaongeza njia 22 mpya kusafirisha mizigo nje ya nchi mwaka huu
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 20, 2025
![]() |
Picha iliyopigwa kwa droni Agosti 19, 2025 inaonyesha meli ya mizigo katika bandari ya Qingdao Mkoani Shandong Mashariki mwa China. (Xinhua/Li Ziheng) |
Hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Julai, bandari ya Qingdao ilikuwa imeongeza njia 22 mpya za biashara nje ya nchi mwaka huu, na kufanya jumla yake kufikia 233 na kuunganishwa na bandari zaidi ya 700 katika nchi na maeneo zaidi ya 180.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma