Lugha Nyingine
Rais wa China ahudhuria Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 60 tangu Kuanzishwa kwa Mkoa Unaojiendesha wa Xizang
Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China, akihudhuria mkusanyiko mkuu kwenye uwanja wa Kasri la Potala mjini Lhasa, Xizang, China Agosti 21, ili kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang. (Xinhua/Yan Yan)
Rais Xi Jinping wa China leo asubuhi amehudhuria Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 60 tangu Kuanzishwa kwa Mkoa Unaojiendesha wa Xizang.
Akihutubia mkutano huo, Mkuu wa Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Wang Huning amesema, mwezi Septemba mwaka 1965, kutokana na sera ya Chama, mkoa unaojiendesha wa Xizang ulianzishwa, hili ni tukio lenye maana kubwa katika historia ya Xizang. Katika miaka 60 iliyopita, uchumi na jamii ya mkoa huo vimeendelea kwa pande zote, hali ambayo imeonesha uhodari wa sera ya jamii ya China.
Amesema katika mwanzo mpya wa kihistoria, inapaswa kushikilia maelekezo ya fikra ya rais Xi ya ujamaa wenye umaalumu wa China katika zama mpya, ili kujenga mkoa mpya wa Xizang wenye mshikamano, utajiri, ustaarabu, masikilizano na hali ya kupendeza.
Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China, akihudhuria mkusanyiko mkuu kwenye uwanja wa Kasri la Potala mjini Lhasa, Xizang, China Agosti 21, ili kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang. (Xinhua/Yan Yan)
Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China, akihudhuria mkusanyiko mkuu kwenye uwanja wa Kasri la Potala mjini Lhasa, Xizang, China Agosti 21, ili kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang. (Xinhua/Yan Yan)
Uwekaji wa nguzo za chuma kwenye Daraja la Mto Hanjiang la reli ya kasi ya Xi'an-Shiyan wakamilika
Michezo ya Dunia ya Chengdu | Sherehe ya Kufungwa kwa Michezo ya 12 ya Dunia yafanyika
Reli ya kasi China iliyoko kaskazini zaidi mwa China yafikisha miaka 10 tangu ilipoanzishwa
Mandhari ya Arxan yenye vivutio vingi vya utalii, Kaskazini mwa China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma