Maonyesho ya Nane ya Utamaduni ya Kimataifa ya Njia ya Hariri (Dunhuang) yaanza mjini Gansu (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 22, 2025
Maonyesho ya Nane ya Utamaduni ya Kimataifa ya Njia ya Hariri (Dunhuang) yaanza mjini Gansu
Wageni wakifahamishwa kuhusu bidhaa za ubunifu wa kitamaduni zilizozalishwa kwa uchapishaji wa 3D kwenye Maonyesho ya Nane ya Utamaduni ya Kimataifa ya Njia ya Hariri (Dunhuang) mjini Dunhuang, Mkoa wa Gansu, kaskazini-magharibi mwa China, Septemba 21, 2025. (Xinhua/Lang Bingbing)

Wajumbe zaidi ya 1,200 kutoka nchi 97 na mashirika manane ya kimataifa wamekusanyika katika Maonyesho ya Nane ya Utamaduni ya Kimataifa ya Njia ya Hariri (Dunhuang), yaliyoanza jana Jumapili huko Dunhuang, kituo muhimu kwenye Njia ya Kale ya Hariri katika Mkoa wa Gansu, kaskazini-magharibi mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha