

Lugha Nyingine
Maonyesho ya Nane ya Utamaduni ya Kimataifa ya Njia ya Hariri (Dunhuang) yaanza mjini Gansu (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 22, 2025
![]() |
Picha hii iliyopigwa Septemba 21, 2025 ikionyesha kaulimbiu ya “kuongeza mawasiliano ya kitamaduni, kuhimiza kufundishana kwa ustaarabu” ya Maonyesho ya Nane ya Utamaduni ya Kimataifa ya Njia ya Hariri (Dunhuang) huko Dunhuang, Mkoa wa Gansu, kaskazini-magharibi mwa China. |
Wajumbe zaidi ya 1,200 kutoka nchi 97 na mashirika manane ya kimataifa wamekusanyika katika Maonyesho ya Nane ya Utamaduni ya Kimataifa ya Njia ya Hariri (Dunhuang), yaliyoanza jana Jumapili huko Dunhuang, kituo muhimu kwenye Njia ya Kale ya Hariri katika Mkoa wa Gansu, kaskazini-magharibi mwa China.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma