Lugha Nyingine
Siku ya Chongyang yaadhimishwa katika sehemu mbalimbali nchini China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 28, 2025
![]() |
| Mtu wa kujitolea akiyafanyia masaji mabega ya mzee katika Wilaya ya Xiayi ya Mji wa Shangqiu, Mkoa wa Henan, katikati mwa China, Oktoba 27, 2025. (Picha na Miao Yucai/Xinhua) |
Shughuli mbalimbali za sherehe zimefanyika katika sehemu mbambali nchini China kwa kuadhimisha Siku ya Chongyang ya Tarehe 9 ya Mwezi wa 9 kwa kalenda ya kilimo ya China, siku hiyo ya mwaka huu inawadia Tarehe 29 Oktoba. Siku hiyo pia inajulikana kuwa ni Siku ya Kuwaheshimu Wazee ya China, siku hiyo inasisitiza utunzaji wa kiumma kwa ajili ya wazee.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




