Siku ya Chongyang yaadhimishwa katika sehemu mbalimbali nchini China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 28, 2025
Siku ya Chongyang yaadhimishwa katika sehemu mbalimbali nchini China
Mtu wa kujitolea akimnyoa nywele mzee kwenye kituo cha kutunza wazee katika Mji wa Qingdao, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Oktoba 27, 2025. (Picha na Zhang Ying/Xinhua)

Shughuli mbalimbali za sherehe zimefanyika katika sehemu mbambali nchini China kwa kuadhimisha Siku ya Chongyang ya Tarehe 9 ya Mwezi wa 9 kwa kalenda ya kilimo ya China, siku hiyo ya mwaka huu inawadia Tarehe 29 Oktoba. Siku hiyo pia inajulikana kuwa ni Siku ya Kuwaheshimu Wazee ya China, siku hiyo inasisitiza utunzaji wa kiumma kwa ajili ya wazee.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha