Lugha Nyingine
Kampuni za biashara ya mtandaoni na za uwasilishaji bidhaa zawa na pilika nyingi katika Gulio la Siku ya "Double Eleven" kote China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 12, 2025
![]() |
| Mwendesha kigari akifanya kazi kwenye kituo cha usafirishaji bidhaa katika Eneo la Licang la Mji wa Qingdao, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Novemba 11, 2025. (Picha/cfp) |
Jana Jumanne, Tarehe 11, mwezi wa 11 ilikuwa ni siku ya Gulio Kubwa la kila mwaka la Mtandaoni la China ambalo linajulikana zaidi kwa jina la Gulio la Siku ya Double Eleven. Kuanzia siku hiyo na siku kadhaa zijazo, kampuni za biashara ya mtandaoni na kampuni za kusambaza bidhaa kote nchini China zimekuwa zikitoa nguvu zote kufanya kazi katika kukabiliana na ongezeko kubwa la vifurushi vya bidhaa zilizonunuliwa wakati wa gulio hilo la Siku ya "Double Eleven."
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




