Lugha Nyingine
Mkutano wa Vyombo Vipya vya Habari wa China Mwaka 2025 wafunguliwa Changsha (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 13, 2025
![]() |
| Watu wakionekana kwenye Maonyesho ya Teknolojia ya Vyombo Vipya vya Habari ya China 2025 mjini Changsha, mkoani Hunan, katikati mwa China, Novemba 12, 2025. (Xinhua/Chen Zhenhai) |
Mkutano wa Vyombo Vipya vya Habari wa China Mwaka 2025, unaohusisha hafla ya ufunguzi, majukwaa 7 sambamba, Maonyesho ya Teknolojia ya Vyombo Vipya vya Habari ya China na shughuli nyingine 5, umeanza huko Changsha, mji mkuu wa Mkoa wa Hunan wa China jana Jumatano.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




