Mkutano wa Vyombo Vipya vya Habari wa China Mwaka 2025 wafunguliwa Changsha (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 13, 2025
Mkutano wa Vyombo Vipya vya Habari wa China Mwaka 2025 wafunguliwa Changsha
Waoneshaji bidhaa wakielezea vifaa vya kupiga picha za video kwenye Maonyesho ya Teknolojia ya Vyombo Vipya vya Habari ya China 2025 mjini Changsha, mkoani Hunan, katikati mwa China, Novemba 12, 2025. (Xinhua/Chen Zhenhai)

Mkutano wa Vyombo Vipya vya Habari wa China Mwaka 2025, unaohusisha hafla ya ufunguzi, majukwaa 7 sambamba, Maonyesho ya Teknolojia ya Vyombo Vipya vya Habari ya China na shughuli nyingine 5, umeanza huko Changsha, mji mkuu wa Mkoa wa Hunan wa China jana Jumatano.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha