Lugha Nyingine
Kazi ya Kutandika reli ya mradi wa kurefusha Reli ya Weng'an-Machangping yakamilika katika Mkoa wa Guizhou, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2025
Kazi ya kuweka boriti na kutandika reli ya sehemu ya kusini ya mradi wa kurefusha reli kutoka kusini hadi kaskazini wa Reli ya Weng'an-Machangping nchini China imekamilika kwa mafanikio jana Jumapili.
Mradi huo wa kurefusha reli kutoka kusini hadi kaskazini kwa urefu wa kilomita 148 wa Reli ya Weng'an-Machangping ni mradi muhimu wa ujenzi wa reli inaohusiana zaidi na maliasili na mahitaji ya raslimali katika Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



